BBC News, Swahili - Habari

Uchaguzi wa Uganda 2021

Kampeni zimeshika kasi nchini Uganda huku wananchi wakitarajiwa kupiga kura Januari 14,2021.

Sikiliza, Lady Gaga kuimba wimbo wa taifa Joe Biden akiapishwa, Muda 2,00

Lady Gaga na Jennifer Lopez watatumbuiza katika hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule Joe Biden. Gaga ataimba wimbo wa taifa katika sherehe hiyo tarehe 20 Januari

Kwa picha: Uvamizi wa bunge Marekani

Kwa Picha: Tazama jinsi waandamanaji walivyovamia bunge Marekani

 • Wiki Hii, 07:00, 16 Januari 2021

  Kipindi cha yaliyojiri wiki nzima kinachokujia kila Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi Afrika Mashariki

 • Wiki Hii, 06:00, 16 Januari 2021

  Kipindi cha yaliyojiri wiki nzima kinachokujia kila Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi Afrika Mashariki

 • Dira Ya Dunia, 18:29, 15 Januari 2021

  Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

 • MBELE Amka Na BBC, 05:59, 18 Januari 2021

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

  • Matumizi ya Lugha

   Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.

  • Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57

   Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.